Thursday, June 8, 2017

Image result
Image may contain: 8 people, people smiling, people standing and suit


"Nimewashangaa wenzangu kunivua nafasi yangu ya Uenyekiti wao wanadhani wamenikomoa, kumbe wamenisaidia kurahisisha kazi zangu. Sijaona sababu ya kuharakisha kunivua nafasi yangu wakati upo uwezekano nafasi yangu kukaimiwa kwa miezi 6 mpaka hapo tutakapokubaliana vizuri"
RC-Kilimanjaro Ndg. Anna Mghwira

0 comments:

Post a Comment