Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 15, 2017
 |
| Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda, jana alipokabidhiwa magari mabovu 56 ya Polisi ambayo yatapelekwa kutengenezwa na kuwa ya kisasa, akisaidia kuyasukuma kuyaingiza ndani ya Malori ya Jeshi tayari kwa kusafirishwa. |
0 comments:
Post a Comment