Posted by Williammalecela.com on Friday, June 16, 2017
 |
| Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda, leo alipokutana na Maimau 500 wa Dini ya Kiisilam hapa mjini Dar katika Ukumbi wa Manispaa ya Ilala Mnazi Mmoja, na kuwakabidhi kila mmoja Kilo 25 za Mchele, Kilo 20 za Sukari na Lita 10 za Mafuta ya kupikia. |
0 comments:
Post a Comment