Akothee
sio mtu wa mchezo mchezo. Mrembo huyo wa Kenya ameonesha jeuri ya fedha
kwa kumzawadia mwanae gari la kampuni ya Mazda katika sherehe yake ya
kuzaliwa ya kutimiza miaka 19 wikiendi hii.
Mtoto
huyo ambaye kwenye mtandao wa Instagram anatumia jina la @Baby Rue
alimshukuru mama yake kwa kuandika, “The moment I saw this walking in i
was too shocked to speak…mummy u wil always remain the best mother in
the world@akotheekenya ….i love my new toy and yes i wunt accept any
lift coz i got myn.. thank yu mummy.”
Sherehe
hiyo ilifanyika katika hoteli ya Villa Rosa Kempinski iliyopo Nairobi,
Kenya. Tazama picha zaidi za sherehe hiyo hapa chini.
0 comments:
Post a Comment