Tuesday, June 6, 2017

Msanii wa vichekesho Anna Exavery a.k.a Ebitoke amefunguka na kusema yupo serious akimtaka Ben Paul awe mpenzi wakeAmedai ameanza kumzimia kitambo kabla hajawa maarufu ial hkuweza kuonana nae kwa kuwa alikuwa hafahamikiAmeongezea ujumbe wake akimuonyesha mtoto wake
umemuumiza sana kwakuwa alikuwa anasubiria jibu kutoka kwake,Pia kuna siku alipost picha na kuandika ujumbe wake kisha Ben Paul akamjibu na kumuonyesha alama za love akadhani amemuelewa ila kuja kuona kwenye akaunt yake akashangaa kuona picha ya mtoto wake lakini mtoto wake anaweza kuishi nae akamlea,Amedai ameongea akilia kwa sababu anaumia na skendo yake ya kupakwa mafuta haijali sababu anampenda mnoo Mtazame Akilia Kwa Machozi: 

0 comments:

Post a Comment