Monday, June 5, 2017

Baada ya Kuachana na mrembo wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper, ilisemekana kuwa WCB super staa Harmonize anampenzi mpya, mzungu , ana pesa, kamnunulia gari Harmonize na anamjengea jumba kubwa huko Madale

0 comments:

Post a Comment