Habari njema nyingine iliyofikia kutoka kwenye industry ya Bongofleva ni pamoja na hii ya msanii wa kizazi kipya wenyewe wanamuita V.O.A Voice Of Africa, Linex Sunday Mjedakupata mtoto leo June 27 2017.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Linex aliandika: Mungu wangu Wa Ibrahim Mungu Wa Jacob Mungu Wa Watu wote wamuaminie Amenipa Jina Jipya kutoka Kwenye Sunday Jina nililopewa Na Mama angu Mpendwa mpaka kwenye Jina Jipya BABA nashindwa kujieleza OK nisiongee Sana MPENI JINA MTOTO WENU” – Linex
Wednesday, June 28, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment