Kutoka Bongoflevani ukitaja wasanii wakongwe kwenye game sio rahisi kuliacha jina la Shaban Katwila a.k.a Q Chief au Q Chillah kama anavyojiita kwasasa alikuwa kuitambulisha single aliyoshirikishwa na rapa Chid Benz alionekana akiongea kwa hisia kali hadi kutoa machozi.
msanii Q Chillah Exclusive na ameeleza sababu za yeye kulia wakati akiwa kwenye interview live. Chillah amesema “Niliguswa na hali ya Chid Benz, na najua nimepitia hali nyingi sana kwenye maisha ambazo Chid amepita”
“Lakini kikubwa kilichoniliza nimewahi kuwapoteza marafiki wakubwa sana ambao niliwapenda, wasanii wakubwa, majina makubwa Tanzania mtu kama Albert Mangweha “Ngawair” Mwanahiphop ambaye mimi sijawahi kumuona zaidi yake”<<< – Q Chillah

0 comments:
Post a Comment