DAR: Kijana mmoja amekamatwa leo Juni 19, 2017 akijaribu kuingiza simu 5 katika Gereza la Mahabusu Keko. Alizifungasha kwenye mapande ya nyama.
Simu hizo zilikuwa ziingizwe gerezani humo ili wapewe wafungwa kwa ajili ya mawasiliano jambo ambalo ni kinyume cha sheria.
0 comments:
Post a Comment