Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 15, 2017
 |
"Kuna
sintofahamu kubwa kuhusu usiri uliopo katika ugonjwa anaoumwa Mh.
Mbowe. Baadhi ya wananchi walipopata taarifa juu ya kulazwa kwa Mh.
Mbowe siku ya Ijumaa tarehe 9/06/2017 katika hospitali ya mkoa wa Dodoma
(General Hospital) walishindwa kumuona na kumpa pole kwani hakutaka
watu wamsalimie au wajue ugonjwa alionao.
Mwenyekiti huyo wa
Taifa wa CHADEMA alilazwa katika hospitali hiyo ya mkoa na kufanyiwa
Operation ya “ANUS” kutokana na matatizo ya tumbo aliyoyapata baada ya
kunywa dawa za kupunguza mafuta mwilini zilizoleta shida na kusababisha
kuharisha hadi utumbo ukaathirika na kupelekea kufanyiwa operation ya
utumbo mpana (Large intestine)
Navyofahamu mimi kuugua si jambo la kificho na ni utamaduni wetu
watanzania kujuliana hali katika matatizo na furaha kama vifo, maradhi
na sherehe.
Swali la kujiuliza hapa kwanini Mbowe hakutaka watu
wamsalimie? Kweli watu wametoka nyumbani kwa nia njema ya kukuona na
kukuombea juu ya afya yako na unakataa kuchukua baraka zao??????
Mbona Mbowe akisikia watu wengine wanaumwa au kufiwa huwa ni wa kawanza
kwenda kuwajulia hali na kuwapa pole. Kuna siri gani anaificha hapa……….
Anakataa hata viongozi na wanachama wa Chama chake (CHADEMA)kumsalimia!!"
Japo hataki kusalimiwa natoa rai kwa watanzania tuendelea kumuombea kwa Mungu amponye haraka.
|
0 comments:
Post a Comment