Ripoti
ya Viwango vya Furaha Duniani ya 2017 ambayo imetolewa leo ulimwengu
ukijiandaa kuadhimisha Siku ya Furaha Duniani ya Umoja wa Mataifa ambayo
huadhimishwa kila tarehe 20 Machi.Orodha hiyo huaandaliwa
kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishani, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.

Imetayarishwa
na shirika la maendeleo endelevu, Sustainable Development Solutions
Network (SDSN), ambalo lilianzishwa na Umoja wa Mataifa.
Orodha kamili:
1. Norway (7.537)
2. Denmark (7.522)
3. Iceland (7.504)
4. Uswizi (7.494)
5. Finland (7.469)
6. Uholanzi (7.377)
7. Canada (7.316)
8. New Zealand (7.314)
9. Australia (7.284)
10. Sweden (7.284)
11. Israel (7.213)
12. Costa Rica (7.079)
13. Austria (7.006)
14. Marekani (6.993)
15. Ireland (6.977)
16. Ujerumani (6.951)
17. Ubelgiji (6.891)
18. Luxembourg (6.863)
19. Uingereza (6.714)
20. Chile (6.652)

0 comments:
Post a Comment