"Here KITILA MKUMBO has no more say, hahaaaa njaa bana hatar sana. Huyu jamaa tayar kashapata ulaji so hana chochote cha kupinga kama zamani,
Uncle POMBE mpachike hata kauwaziri ndugu ZITTO ili nae apunguze kelele anazingua bana, Anna Mgwira tushamtuliza tayar, kwa mbinu hii tunayoitumia ACT lazima waisome namba, Mwigamba yeye njaa yake kali sana yule mpatie hata ubalozi wa SOMALIA=======6K fighter====="


0 comments:
Post a Comment