Thursday, June 8, 2017

Image may contain: 7 people, people smiling, crowd and outdoor
Picha moja ya kumbu kumbu ya Taifa ya Mpiganaji maarufu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Marwa, akishangiliwa na kuzungkwa na Wapiganaji aliowaongoza kuikomboa Bukoba kutoka kwa Nduli Idd Amin na kumpiga mpaka kumuondoa ndani ya Uganda. Mpiganaji Marwa akiwa na Kiko chake maarufu na pia akiwa amevaa sare za Jeshi bila vyeo vyake kamili kuepuka kutambuliwa na Adui ikiwa ni moja ya mbinu zake mbali mbali alizokuwa akizitumia katika Uwanja wa Mapambano na kujipatia sifa kubwa sana kutokana na uhodari wake wa ajabu katika kupigana na kumshinda adui.

0 comments:

Post a Comment