Monday, June 5, 2017

Wabunge wa Chama cha Wananchi CUF wanaomuunga mkono Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif Hamad walifungua Ofisi mpya iliyopo Magomeni Mapipa DSM ambayo itawawezesha kukutana na kufanya shughuli za chama.

Imeelezwa kuwa Ofisi hizo zitamuwezesha pia Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif kukutana na Wakurugenzi wake pamoja na Wabunge wa chama hicho.
        
 
V

0 comments:

Post a Comment