Wednesday, June 21, 2017

 Rais Magufuli amefanya ziara na kuzungumza na wananchi wa Mkoa wa Pwani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Bwawani Mjini Kibaha akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya siku 3 Mkoani humo.

0 comments:

Post a Comment