Msanii wa muziki Jennifer Lopez na mpenzi wake Alex Rodriguez maarufu kwa jina la A-Rod wamedhihirisha kuwa pesa si kitu kwa yule unaempenda tena hasa ukimshiba vilivyo.
Wawili hao wametumia kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 750 za kitanzania kukodi ndege binafsi kwa ajili ya kusafiri kuelekea Ufaransa kwa ajili ya mapumziko. Fedha hiyo inajumuisha safari nzima kwa ujumla na maradhi waliyotumia mpaka sasa.
Mpaka sasa haijajulikana wawili hao watakuwa nchini humo kwa muda gani ila mpaka sasa ni wiki moja wanakula bata katika viwanja hivyo.
0 comments:
Post a Comment