Video ya wimbo mpya wa Diamond Platnumz ‘I Miss You’ bado InaTrend Number 1 Tanzania na mpaka sasa imefikisha viewers zaidi ya milioni 1.
I Miss You imetayarishwa na Producer Lizer Classic wa WCB Wasafi na video imefanyika Johannesburg, South Africa na kampuni ya NIC.
0 comments:
Post a Comment