Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Onesmo Liyanga ameteuliwa kuwa Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Rufiji -IGP Simon Siro'Matatizo ya maeneo ya Kibiti hayawezi kuisha kwa nguvu ya Polisi pekee,
yataisha kwa ushirikiano na wananchi wa maeneo hayo' - IGP SirroMAUAJI KIBITI: Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema itaanzishwa Kanda Maalum ya Kipolisi eneo la Rufiji itakayoongozwa na Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Onesmo Lyanga. Aidha, Sirro ameeleza kuwa matatizo ya maeneo ya Kibiti hayawezi kuisha kwa nguvu ya Polisi pekee bali yataisha kwa ushirikiano na wananchi wa maeneo hayo.

0 comments:
Post a Comment