Thursday, June 15, 2017



 Aliyekuwa Rais wa Ivory Laurent Gbagbo ameshambuliwa akiwa anatembea mtaani jijini Paris Ufaransa na wananchi ambao wanasadikiwa kuwa ni raia wenye asili ya Ivory Coast waishio Ufaransa.

0 comments:

Post a Comment