Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 15, 2017
Baada ya Rais JPM kukabidhiwa Ripoti ya Pili ya Makinikia Ikulu DSM, leo June 14, 2017 Bunge limependekeza kufanya maazimio baada ya mrejesho wa Kamati iliyoundwa na Rais JPM kuchunguza kiwango cha madini kwenye makontena ya mchanga. Nimekusogezea FULL VIDEO yenye kila kitu hapa
0 comments:
Post a Comment