Posted by Williammalecela.com on Friday, June 30, 2017
June 30, 2017 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng. Hamad Masauni na IGP Simon Sirro wanaongea na Waandishi wa Habari kuhusu issue ya mauaji ya Askari na raia wasiokuwa na hatia katika maeneo ya Kibiti, Rufiji na Mkuranga.
Unaweza kutazama LIVE hapa wanachozungumza Eng. Masauni na IGP Sirro…
0 comments:
Post a Comment