Posted by Williammalecela.com on Tuesday, June 20, 2017
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe leo amempongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kufuatia tukio la kupandishwa Kizimbani kwa watuhumiwa wa IPTL na ESCROW, ametoa pongezi hizo kupitia Ukurasa wake wa Twitter kama inavyoonekana hapo chini.
0 comments:
Post a Comment