Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametumia IG Yake kuweka ujumbe huu kuhusu Kifo cha mama yake ZARI ambaye ni mama watoto wawili wa Diamond Platnumz.
Diamond PlatnumzMwenyez Mungu ailaze Roho yako Mahali Pema Peponi Amini.
Mama mzazi wa Zari amefariki Asubuhi ya July 20 2017.
0 comments:
Post a Comment