Muigizaji wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiwa na mume wake Moze
Iyobo. MUIGIZAJI wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema alilazimika
kusafiri hadi nchini Thailand kufuata dawa ya kupunguza unene baada ya
kuona hali hiyo inamnyima raha kwani ingeweza kumfanya aonekane mzee.
Dah, yaani hata nikivaa nguo najiona wazi sipendezi hivyo katika
pitapita yangu nikaambiwa kuna dawa nzuri Thailand, nikaenda na baada ya
kuanza kutumia, naona ina manufaa makubwa na nadhani inaweza kuwasaidia
watu wengine wasiopenda unene,” alisema.
0 comments:
Post a Comment