"Thanks
be to God leo tumemalizia Wiring yaani sasa Umeme humu ndani at our New
Le Mutuz Online TV Studio Downtown to Downtown back to back upo sawa
100%
....bado a standby Generator umeme wa Tanesco ukikatika ...kazi ya
Blog imeshaanza tayari na PHASE TWO ya vifaa vya TV itaanza anytime
lakini pole pole hatutaki kukosea U know ....Guys tupigane na tupambane
na maisha wachana na maneno ya wasiokufa
hamu
cause ni wewe ndiye unayeijua Size ya Njaa yako kama mimi ninavyoijua
Size ya Njaa yangu ....how to fight sihitaji kuambiwa wala ku negotiate
au ku Compromise na any one ....ni kupigana tu mpaka siku ya mwisho wa
Maisha ila as long as I live the fight goes on na hakuna wa kuniamulia
Silaha ....hahaha ....guys hakuna mkato ni KAZI JUU YA KAZI .....Bampa
to Bampa and I lov it!" - le Mutuz Nation
0 comments:
Post a Comment