Wednesday, July 19, 2017

Bwana huyu aliondoka na mtoto wake kwenda kusikojulikana aliporudi alimwambia mke wake kuwa mtoto wao amepotea,Mama hakuamini kilichotokea akawapigia sim polisi kuwaambia wamkamate Mme wake kwani yeye ndiye aliyeondoka na mtoto na kutorudi naye,Polisi walivyopekuwa gari walipata mwili wa mtoto nyuma ya buti la gari alilokuwa akiendesha yule mume. Jamaa alimuua mtoto wake kwa kutaka pesa za kichawi. 
Tuma ujumbe huu kukumbusha watu kuwa dunia imekwisha na imani kwa watu imekwisha usije ukamuamini mtu yeyote ata mume au mke unayeishi naye. Tuma ujumbe huu kukumbusha watu kuwa dunia imekwisha na imani kwa watu imekwisha usije ukamuamini mtu yeyote ata mume au mke unayeishi naye. Source : Whatsapp

0 comments:

Post a Comment