Sunday, July 23, 2017


Mkazi mmoja wa maeneo ya Ubungo Kibangu Jijini Dar mapema leo amepata ajali ya kupigwa risasi na mtu asiyejulikana wakati akiwa anaingia Kanisani Parokia ya Kibangu. Kwa bahati nzuri, risasi zilimlenga maeneo ya begani na ubavuni hivyo jamaa kwa mshtuko ama kupoteza damu nyingi kulimfanya azimie papo hapo. Watu waliokuwa maeneo hayo baada ya kumwona mfyatua risasi
ambaye hakuwa na usafiri wowote, walianza kumkimbiza na kumpigia kelele za mwizi hadi kumtia mikononi na hatimaye kumkabidhi kwa Polisi. Hata hivyo inahisiwa kuwa huenda ni ugomvi wa kifamilia.Watu waliokuwa maeneo hayo baada ya kumwona mfyatua risasi ambaye hakuwa na usafiri wowote, walianza kumkimbiza na kumpigia kelele za mwizi hadi kumtia mikononi na hatimaye kumkabidhi kwa Polisi. Hata hivyo inahisiwa kuwa huenda ni ugomvi wa kifamilia.

0 comments:

Post a Comment