Saturday, July 8, 2017

Image result for breaking news

KIBITI: Mwanaume 1 aliyejulikana kwa jina la Hamis Ndikanye(54) ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake.

Shuhuda amesema kuwa watu 5 wakiwa na bunduki walifika nyumbani kwa marehemu saa 6 usiku, kisha kufanya mauaji hayo.

CHANZO:JAMIIFORUMS

0 comments:

Post a Comment