Kama umefanikiwa kuipitishia jicho video ya ngoma ya Lucky Me ya G Nako utakuwa umekutana na kitu cha tofauti ambacho watu wengi huwa wanaogopa kufanya.
G Nako kuingia kwenye jeneza, ikiwa wengi huwa na imani tofauti na kitendo hicho na kudai kwamba sio vizuri na vitu kama hivyo.
Mkali huyo kutoka Weusi ametusomesha kuwa ni milango kibao ya fursa imefunguka baada ya yeye kuonekana na ujasiri wa kufanya kitendo kama kile, ikiwa ni kutafutwa na madirector wa movies kwa ajili ya kushoot na vitu kama hivyo.
0 comments:
Post a Comment