Monday, July 31, 2017

Klabu ya Simba imetangaza rasmi kuwa kipa Aishi Manula atajiunga na kambi ya timu hiyo iliyopo Afrika Kusini baada ya kukamilisha usajili akitokea Azam.

0 comments:

Post a Comment