Wikeend hii siku ya Jumamosi msanii kutoka kwenye Bongo Fleva, Diamond Platnumz alidondosha show ya kufa mtu nchini Congo.
Show hiyo ‘Independence Day Festival’ iliyofanyika katika mji wa Goma, kama kawaida Diamond alipanda jukwaani akiwa na dancer wake na kukiwasha vilivyo. Tazama video hapa chini.
0 comments:
Post a Comment