Monday, July 17, 2017


Bw, Keneth Kaini mfanyakazi wa taasisi ya Global Education Link (GEL) akitoa maelekezo jinsi mfumo wa udahili na ufuatiliaji wa maendeleo ya wanafunzi unavyoanya kazi katika taasisi hiyo yenye ofisi viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Mkurungezi wa Taasisi ya Global Education Link (GEL)Bi. Zakia Nasar akitoa maelekezo ya huduma za taasisi hiyo kwa wateja waliofika katika ofisi hiyo iliyopo viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
Bw, Keneth Kaini mfanyakazi wa taasisi ya Global Education Link (GEL) akifafanua jambo wakati akitoa maelekezo jinsi mfumo wa udahili na ufuatiliaji wa maendeleo ya wanafunzi unavyoanya kazi katika taasisi hiyo yenye ofisi viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Mkurungezi wa Taasisi ya Global Education Link (GEL)Bi. Zakia Nasar akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa taasisi hiyo.

……………………………………………………………………………….

Mkurugenzi wa kampuni ya GLOBAL EDUCATION LINK LTD[GEL] Bwana ABDULMALIK MOLLEL anatoa pongezi za dhati kwa shule zote na wahitimu wote wa kidato cha sita wa mwaka wa masomo 2017.Pia Global Education Link LTD inapenda kuwajulisha kwamba inaendelea kutoa huduma zake za udahili wa vyuo vikuu nje ya nchi kwa wanafunzi wanaopendelea kwenda kusoma nje ya nchi kama CHINA,UK,USA,INDIA,AUSTRALIA,UKRAINE,MALAYSIA,SOUTH AFRICA kwa kozi mbalimbali kama Udktari,Ufamasia,Sheria,Urubani,Biasharana na fani nyinginezo nyingi.

Kwa huduma zetu tembelea ofisi zetu makao makuu zilizopo MWL.J.K. Nyerere International Trade Fair Ground Barabara ya Kilwa P.O.BOX 40163 DAR ES SALAAM

Kwa wakazi wa mikoani tunapatikana katika ofisi zetu zilizopo Mbeya,Tanzania Century Plaza 2ndFloor mkabala na Mwanjelwa Complex ,Kwa wakazi wa DODOMA Ofisi zetu zinapatikana Tanzania Baseline House mkabala Nyerere Squre 1st floor , Kwa wakazi wa ZANZIBAR,UNGUJA,PEMBA tupo St.Muzzamil Center Block A Office No.39, 3rd floor.

Kwa wakazi wa Arusha Ofisi zetu zipo tanki la maji mkabala DR.Mohamed Hospital,Kwa wakazi wa Mwanza ofisi zetu zipo ROCK CITY MOLL 2nd Floor au tembelea tovuti yetu www.gel.co.tz au info@gel.co.tz au unaweza ukatutafuta kwa namba za simu +255 656 200200

0 comments:

Post a Comment