Posted by Williammalecela.com on Monday, July 31, 2017
 |
LIVE
STRAIGHT TALK: The of Magufuli hatimaye Tanzania tumepata tulichokuwa
tunakililia sana katika Miaka 56 ya Uhuru wetu cause wala sio siri
pamoja na sifa zote za Baba wa Taifa bado kuna watu wengi waliompinga na
hata kutaka kumpindua na siku zote malalamiko makubwa yalikuwa ni
SHERIA NA UCHUMI yaani tulikuwa na Uchumi mbovu na kuna Watu waliokuwa
juu ya Sheria ....ni kwenye Uchaguzi uliopita wa
Rais ilipokubalika na sisi wote WaTanzania kwamba MABADILIKO yalikuwa
ni lazima tulikubaliana kwa pamoja kwamba tumechoshwa na Uongozi wa
Mazingaombwe ambao tumeishi nao kwa miaka 55 ya Uhuru wetu ....yalikuwa
ni maajabu kuona tunafuata siasa ya Ujamaa lakini tunajenga matabaka ya
THE HAVES and THE DONT HAVES na the gap baina ya Matajiri wachache na
Masikini wengi ilianza kutisha ....tulifikia kuwa na Viongozi matajiri
yaani mtu akiingia kwenye Uongozi automatically anakuwa tajiri wa ajabu
tena ghafla vilio vya Wananchi kudhulumiwa na kuibiwa pesa za umma
hazikuwa na wa kuzisikiliza ...tulikaribia sana kumpa nafasi ya kuwa
Rais Waziri Mkuu Mstaafu aliyelimbikizia mali za ajabu ambazo mpaka leo
ni kitendawili kikubwa sana as of alizipata wapi hizo Mali?....Mwaka
Mmoja na Nusu wa Rais Magufuli tunajionea maajabu ya Mabadiliko ambayo
huko nyuma tulishakata tamaa kuwa CCM haitakuja kuwa na Rais
asiyewaogopa CCM wenzake maana wote waliopita walikuwa na tabia ya
kuogopana ndani ya CCM ....that is not the case anymore na Rais Magufuli
ametuonyesha kwamba HAKUNA LISILOWEZEKANA na HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA
sasa hivi wote tunaisoma namba hakuna cha CCM wala Upinzani kitabu ni
kile kile ....tulikuwa tumefika mbali sana yaani unakuta mtu amebeba
Mamilioni ya pesa kwenye buti ya gari infact tulikuwa na Viongozi wa
Serikali waliokuwa na uwezo wa kwenda London kuangalia mechi za Man
United Jumamosi na kurudi Jumapili ..Rumande za Keko na Segerea zilikuwa
ni sehemu za Maskini tu sio wenye uwezo na ofisi za Serikali zilikuwa
ofisi za maigizo..lakini kwa muda mfupi sana Rais Magufuli amefanya
maajabu ya Dunia ndugu zangu cha msingi ni Wananchi kumuunga mkono
tuachane na wasiotaka kukubali kwamba zile zama za ujanja ujanja
zilishafikia mwisho na hazipo tena!..VIVA MAGUFULI! - le Mutuz Nation
|
0 comments:
Post a Comment