Posted by Williammalecela.com on Saturday, July 22, 2017
Dar es salaam imefungwa sound moja hatari ili kunogesha kila kitakachofanywa kwenye jukwaa la Castle Light Unlocks kwa ajili ya July 22 ambapo Vanessa Mdee, Diamond Platnumz, kundi la Weusi, Navy Kenzo na kutoka Marekani ni Future watatumbuiza.
0 comments:
Post a Comment