Monday, July 3, 2017

Bango la Wakati Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi likionyesha ongezeko la siku 15 kwa wadaiwa wa Kodi ya Pango la Ardhi kuendelea kufanya malipo hayo katika Vituo mbalimbali vya Makusanyo hayo vimeonekana kufurika.
Kituo cha Makusanyo- Kivukoni, Magogoni (Dar es Salaam)Wananchi wameendelea kujitokeza kufanya Malipo ya Kodi ya Pango la Ardhi.

Moja ya Kituo cha Makusanyo- Tanga wananchi wakiwa katika foleni tayari kwa kulipia kodi zao za ardhi.

0 comments:

Post a Comment