
Mama mzazi wa Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Hassan amefariki dunia asubuhi hii, baada ya kuugua kwa wiki kadhaa na kulazwa hospitali. Zari ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki Diamond Platinums, amethibitisha kifo cha mama yake kupitia ukurasa wake wa Instagram, wakati Hayo yakiendelea,
Mashabiki wa Diamond wameamua Kumtolea Uvivu na Kumpa ukweli baada ya kupost picha ya Mama yake Zari, Shabiki Mmoja alimfungukia Diamond Kuhusu tabia yake ya kupenda pesa sana zaidi ya Utu na Kumtaka aache mishe zake aende akamfariji Zari, Aliandika ”
miria_zariSiimbaa mama tee anamaumivu kupita maelezo juz kamzika mzazi mwenzake leo mama daah ni maumivu ya aina yake.please simbaa nenda ukamfaliji mkeo pesa zipo baba kamwangalie mama watoto wako kwanza najua akikuona kidogo atafarijika plz @diamondplatnumz Una MAONI GANI JUU ya hili? Unahisi ni kweli Diamond Anapenda sana pesa mpaka anasahau kuwa karibu na Mke wake? Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment