Posted by Williammalecela.com on Saturday, July 08, 2017
Mh.Paul Makonda akiwa pamoja na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi Mh.Raymond Mboya ofisini kwake jijini Dar es salaam jana 06/07/2017. Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi amekutana na Mh. Paul Makonda kuzungumzia shughuli mbalimbali za kimaendeleo
0 comments:
Post a Comment