Sunday, July 16, 2017

Video Model na Msanii wa bongo fleva maarufu Tanzania Gigy Money amezua gumzo IG Baada ya kuweka picha mbili akiwa na Diamond Platnumz huku akimuita BAENeno maarufu la kumuita mpenzi wako hapa mtandaoni.

Pich za Gigy na Diamond zikiwa na ujumbe ‘Wahenga walio sema mapenzi mauwa uota kokote’ na yapili inaujumba wa ‘boo & bae 


0 comments:

Post a Comment