Saturday, July 22, 2017

Jane Rimoy ‘Sanchi’.

VIDEO Queen Jane Rimoy ‘Sanchi baada ya kufanya kazi zake za mitindo na upigaji picha amenunua kiwanja cha shilingi milioni 70 kilichopo Mbweni jijini Dar es Salaam.


Akizungumza na Risasi JumamosiSanchi alisema kuwa ameamua kununua kiwanja hicho kama moja ya kumbukumbu ya kazi zake alizofanya kwa kipindi cha miaka mitatu.

“Unajua mtu akikuona upo kwenye mitandao ya kijamii unaweka picha mbalimbali hajui ni kitu gani unafanya kumbe kila mmoja ana akili yake, mimi najivunia kununua kiwanja hicho tena pembezoni mwa bahari kwani ndiyo ndoto yangu ya muda mrefu,” alisema Sanchi.

0 comments:

Post a Comment