Posted by Williammalecela.com on Thursday, July 27, 2017
 |
| Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na wananchi wa eneo la
Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, baada ya wananchi hao kusimamisha
msafara wake alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea
Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017. |
0 comments:
Post a Comment