Monday, July 17, 2017

Jumamosi iliyopita mmoja kati ya marapper wakali kutoka South Africa Nasty C alidondoka nchini kwa madai ya ku-spend weekend na vitu ka hizo.

Rapper huyo ameonekana akiwa kwenye studio session katika Studio za WCB Wasafi na kuripotiwa kuwa ni ngoma ndio ambayo anafanya akishirikiana na mshindi wa BET Internation Viewers Choice 2017 Rayvanny.
Studio session at WCB Wasafi Studios with @Nasty_CSA & @Rayvanny cookin that good stuff Cc @Sallam_SK 🔥🔥

0 comments:

Post a Comment