Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania, Alpha Mria na Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa kushoto na muigizaji wa filamu za kibongo Riyama Ally wakipozi kwa picha nyuma ya bango la picha ya muigizaji huyo iliyopo katika banda la Multchoice katika Maonyesho ya Biashara ya 41 yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE).
Shumbana Walwa kushoto wakipozi kwa picha na muigizaji wa filamu za kibongo Riyama Ally katika banda la kampuni hiyo kwenye maonyesho ya Biashara ya yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wananchi wakipata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa Multchoice katika banda hilo.
0 comments:
Post a Comment