Posted by Williammalecela.com on Friday, July 07, 2017
Mwimbaji mkongwe nchini wa muziki wa dansi, Shaban Dede aliyfariki dunia jana asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa siku kadhaa akitibiwa anatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment