Tuesday, July 25, 2017

Shilawadu wamepenyeza story za kimbembe kilichotokea pande za Manzese Uwanja wa fisi zikimuhusisha msanii mkongwe wa Bongo fleva Mr Nice.

Shilawadu wanadai Jeshi la Polisi lilitenda kazi yake kwa kumshikilia msanii huyo baada ya kuvunja sheria inayo kataza mtu kunywa pombe mida ya kazi.
Soudy Brown amepiga story na watu ambao walikuwepo eneo la tukio wakati kisanga hicho kiki-happen. 

0 comments:

Post a Comment