Rais Magufuli akiendelea na ziara yake mkoani Kigoma, leo amekutana na Mbunge wa zamani David Kafulila na kumpongeza kuhusu kuibua sakata la IPTL na ESCROW. JPM amesema >>> Kafulila wewe hongera, alisimamia wizi
uliokuwa unafanywa IPTL wizi wa ajabu wakamtisha wengine kumpeleka MahakamaniWakamtukana wengine wakamwita Tumbili sasa Tumbili amefanya kazi kubwa kwaajlili ya Watanzania tunahitaji wazalendo katika nchi hii. Nchi ilikosa uzalendo<

0 comments:
Post a Comment