Monday, July 17, 2017

Mahakama ya Kisutu imewarudisha rumande Rais wa TFF, Jamal Malinzi na maofisa wawili wa shirikisho hilo wanaokabiliwa na makosa ya rushwa hadi Julai 31 kesi yao itakapotajwa tena.

0 comments:

Post a Comment