Saturday, July 8, 2017

Mbunge wa Chalinzi Ridhiwani Kikwete amesema kuwa ameondokewa na mtu wa karibu na Familia yake na kwamba ni sawa na mjomba wake.

Ridhiwani aliyehudhuria msibani leo amesema kuwa ameguswa na msiba huo na kamba atamkubuka milele

0 comments:

Post a Comment