Sunday, July 16, 2017

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria anayeunda kundi la P Square, Paul Okoye amafanikiwa kupata watoto mapacha na mkewe Anita Okoye.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram mke wa msanii huyo amepost kuoneshja ujio wa watoto hao wapya katika familia yao.

0 comments:

Post a Comment