Posted by Williammalecela.com on Tuesday, July 11, 2017
Picha kutoka kwenye Instagram account ya msanii maarufu wa RNB kutoka Marekani, Usher Raymond, Toka 9 July 2017 pamekuwa na taarifa za staa huyu kutua Tanzania akiwa na familia yake na kwenda kwenye mbuga za wanyama.
0 comments:
Post a Comment