Tuesday, July 25, 2017

Image result for Tanzania Revenue Authority
Kampuni ya ACACIA imepokea makadirio ya kodi ambazo hazijalipwa zilizotokana na ripoti za kamati za Raiskuhusiana na makinikia.

TRA imeitumia taarifa Acacia inayoonyesha inadaiwa Tsh 425.4 trilioni ikiwa ni malimbikizo ya kodi, riba na adhabu kati ya mwaka 2000-2017.


0 comments:

Post a Comment